INFORMATION CENTRE
Privatization Commission Service Charter - English Version
INTRODUCTION
The Privatization Commission would like to ensure that the service it provides not only meets but exceeds the expectations of its customers and stakeholders. In this respect, this Charter puts in place service standards that will guide the Commission to provide quality services to its customers and the general public. We expect that our service delivery will continuously improve through feedback from our stakeholders.
ORGANIZATION PROFILE
The Privatization Commission is a statutory body under the National Treasury established by Section 3 of the Privatization Act, 2005, which came into force on 1st January, 2008. The Commission is governed by Commission Members and staff headed by the Executive Director/Chief Executive Officer (CEO).
Privatization Commission Service Charter -Kiswahili Version (Mkataba wa Huduma)
UTANGULIZI
Tume ya Ubinafsishaji ingependa kuhakiksha huduma inayotoa haitimizi tu bali inapita matarajio ya wateja wake na wadau. Kwa sababu hii, Mkataba huu unaeleza kanuni zitakazoongoza Tume katika utoaji wa huduma bora kwa wateja wake na umma kwa jumla. Tunatarajia utoaji huduma wetu utazidi kuimarika kupitia maoni ya wadau wetu.
MAELEZO KUHUSU TUME
Tume ya Ubinafsishaji ni shirika halali katika Wizara ya Fedha lililoundwa chini ya Sheria ya Ubinafsishaji, 2005. Tume inaongozwa na Wanachama wa Tume na pia Usimamizi unaoongozwa na Mkurugenzi Mkuu/Afisa Mkuu Mtendaji.
MAONO YETU
Kuwa njia ya kuleta mabadiliko, kugeuza Kenya kuwa uchumi mchangamfu unaowapa raia wake uwezo wa kiuchumi.
WITO WETU
Wito wetu ni kuunda nafasi za kuvutia za uwekezaji na kusimamia ipasavyo Mpango wa Ubinafsishaji unaovutia uwekezaji wa kibinafsi, unaoinua mapato, unaotengeneza mali, unaoimarisha masoko ya hisa, unaohimiza Wakenya kushiriki kwa upana katika uchumina unaopunguza kutegemea rasilimali za kifedha za Serikali. Hii itatimizwa kupitia kuhamisha shughuli na operesheni za kibiashara za Serikali hadi kwa sekta ya kibinafsi kwa njia ya uwazi, ya kutabiriwa na ya usawa, kwa ushirikiano na wadau wakuu.
ZILIPO OFISI
Ofisi zetu ziko katika orofa ya 11, jumba la Extelcoms House, barabara ya Haile Selassie Avenue, Nairobi.